2021 AFCON Special Thread

Ivory Coast building yao kuelekea golini ni pour na ndio maana hadi sasa ukiangalia utadhani Egypt ameelemewa sana ila ukweli wanafanya mashambulio hatari sana
Yah! Sijui Ivory Coast kimewapata nini leo?
 
Yah! Sijui Ivory Coast kimewapata nini leo?
Walianza vizuri ila matumizi yao ya nguvu yanawafanya wachoke mapema maana inaashiria kama wapepania vile na wanakosa utulivu eneo la mwisho japo big up sana kwa namna timu inavyopanda. Sijaona timu yenye organization kuanzia beki hadi viungo kama Ivory Coast this AfCON
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…