Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hamna ni safari hii tu Mkuu.Waarabu hawa wana kitu cha tofauti sana na ss indigenous
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna ni safari hii tu Mkuu.Waarabu hawa wana kitu cha tofauti sana na ss indigenous
Ivory Coast building yao kuelekea golini ni pour na ndio maana hadi sasa ukiangalia utadhani Egypt ameelemewa sana ila ukweli wanafanya mashambulio hatari sanaHamna ni safari hii tu Mkuu.
Yah! Sijui Ivory Coast kimewapata nini leo?Ivory Coast building yao kuelekea golini ni pour na ndio maana hadi sasa ukiangalia utadhani Egypt ameelemewa sana ila ukweli wanafanya mashambulio hatari sana
Walianza vizuri ila matumizi yao ya nguvu yanawafanya wachoke mapema maana inaashiria kama wapepania vile na wanakosa utulivu eneo la mwisho japo big up sana kwa namna timu inavyopanda. Sijaona timu yenye organization kuanzia beki hadi viungo kama Ivory Coast this AfCONYah! Sijui Ivory Coast kimewapata nini leo?
Wanashambiliana kwa dhamu na nidhamu sanaHivi hawa ndio Ivory Cost Tulio Waamini?
Wanashambiliana kwa dhamu na nidhamu sana
Wanategeana sanaGame imepooza sana