Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Shuti kali sanaMisri wanapigaa...amepata
AmekandamizaaaIvory Coast wanapiga penati ya mwisho...zaha...amepataaaaa
Sio kwenye mpira tu ata kwenye maisha ya kawaida huwa hatuko serious kiwango cha kutosha.tuna mapuuza nakutojali mambo.Sijawahi kumuamini mtu mweusi kwenye matuta.
Goalkeeper wa Ivory Coast anawahi kutoka kabla mpira hujapigwa.
Misri wanaenda Robo Fainali kwa Uzembe wa Ivory CoastMisri wanamalizia...Mo Salah...amepataaa
MECHI KALI SI YA KUKOSARobo Fainali itakuwa ni Morocco Vs Egypt
Inabidi kuhama tena,sijui nitahama mpaka liniEric bail ametuuza