koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,789
- 10,388
Inamfaa kwa kweli kacheza vizuri sanaMohamedy Elneny...man of the match
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inamfaa kwa kweli kacheza vizuri sanaMohamedy Elneny...man of the match
Waarabu watupuMECHI KALI SI YA KUKOSA
Hadi tupate kombe mzee, hata ikifika fainali na timu yako imepigwa mbili ikifika dakika ya 88 hama tenaInabidi kuhama tena,sijui nitahama mpaka lini
Hii mechi nayo kama ya kwanza, imepooza wanategeana
Waarabu huwa wapo makini sana kwenye knock out stage.....Misri wanaenda Robo Fainali kwa Uzembe wa Ivory Coast
Taifa stars ya miaka ijayo huenda ikawa nzuriTimu za wenzetu michuano inapoanza mda unavyoenda wanajuana na kuonana vizuri ila Taifa Star mda unavyoenda ndo inaboronga
Yule nyanda wa akiba wa mafirauni kama chale flan hivi lakini yupo vizuri kafanya save moja kisha kawavusha nadhani atamwambia El shenawy mzigo ulonipa nimeufikisha salama fanya upone robo urudi mwenyewe.Waarabu huwa wapo makini sana kwenye knock out stage.....
EGYPT Vs MOROCCO
Hii ndio FINAL
Yaah wanajitahidiHawa marefarii wa Mali ve Equatorial Guinea nimewakubali sana
Ivory Coast ndio mabingwa safari hii