2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Screenshot_20220127-105206_Lite.jpg
 
Tulipe Muda mkuu. Ntakuja kuku-tag wakati ukifika

Nilishawaambia timu za NORTH zikifika hatua ya 16 bora wanafunguka vibaya mno, wanapeleka moto sio wa kawaida

Mimi ni shabiki wa Algeria, ikitoka naenda na Morocco.....huyo egypt asubiri kipigo kutoka kwa Milima ya atlas, tutampiga nyingi hutaamini.....

Morocco <>Tunisia, final

Morocco bingwa kamanda wangu
 
Waarabu wapo makini sana wanapocheza hatua muhimu za mtoano....mfano angalia vilabu vyao kwenye michuano ya Cacl.

.....Ivory coast wangekuwa makini wangeumaliza mchezo ndani ya dk 90 tu, kwa nguvu waliokuwa nayo mpaka kumuadhibu bingwa mtetezi wangetulia huenda wangetinga robo fainali.

Sitashangaa waarabu wakinyanyua hii ndoo.
 
Sure kamanda wangu.. nnahakika kwa asilimia mia timu za NORTH zinatinga final, prediction yangu ni Morocco na Tunisia, Morocco bingwa 😀
 
Back
Top Bottom