2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Samahani kwa kuwarudisha nyuma, lakini Cameroon kuna vituko! Leo wakati wa pre-match meeting/press conference between Tunisia na Burkina Faso kuna mdau alipanda juu ya meza na kukwapua microphones na vedt zake na kukimbia. 🙌
 
Samahani kwa kuwarudisha nyuma, lakini Cameroon kuna vituko! Leo wakati wa pre-match meeting/press conference between Tunisia na Burkina Faso kuna mdau alipanda juu ya meza na kukwapua microphones na vedt zake na kukimbia. [emoji119]
Hawajamlipa hela.zake mwamba kaamua kuja kuchukua kilicho chake ,[emoji1787]
 
Back
Top Bottom