Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
Tunisia walimuotea tu Nigeria.
Kumbuka kwenye group walichezea Match 2 wakapita kama Best Loser
Tunisia ya akina Santos miaka hiyo ya 98.. walikuwa hatari sana.Tunisia miaka ya nyuma walisumbua mno, kwa sasa sio tishio kivile, ebu fikiria kaBukina kanamtoa tunisia [emoji1787]
Waarab wameanza kuondoka
Tunisia ya akina Santos miaka hiyo ya 98.. walikuwa hatari sana.
Sio woteNa ladha ya mpira inaondoka, waarabu ndio wanatufanya wengine tufuatilie hii michuano, otherwise tungepotezea.
Anaitwa Blati Touré midfield kisheti anajua sana kuuchezea na kucheza na mpiraKuna mido moja hapo aisee. Inachezea mpira inavyotaka.
Burkinabe watakutana na Senegal/E. Guinea ambao wanacheza kesho.Wakipita Burkina Fasso unadhani mwenyeji lazima atinge fainali hata kwa mbeleko?
Tunisia wana nuksi sana maana hata match yao ya kwanza mpira ulimalizwa dk ya 85 baadae dk ya 89.
Leo zimeongezwa 4 kamaliza dk ya 3 na sekunde 44.
[emoji28][emoji28]
Watu wana vipaji sana.Anaitwa Blati Touré midfield kisheti anajua sana kuuchezea na kucheza na mpira
Mpira wa kupata goli moja basi kupoteza mda na kulala ,leo si unaona mpira mtamu wamepigwa hakuna kupoteza mda pande zote,waarabu wazinguaji sana heri waondokeNa ladha ya mpira inaondoka, waarabu ndio wanatufanya wengine tufuatilie hii michuano, otherwise tungepotezea.
Wao ni wabaguzi sana tu.Yani mtu hata kama sio shabiki wa B/faso lakini ataishabikia kwa nguvu zote ili tuu waarabu watoke, bado ubaguzi upo, tena sana. Nimefuatilia wachangiaji humu ni wachache sanaa may be 10 hawafiki wanaoshabikia timu za waarabu.
Tukemee ubaguzi ndugu zanguni, tusiwape nafasi wapumbafu wasiojitambua/wanaoendekeza chuki dhidi ya hawa ndugu zetu wa NORTH
Hakuna cha dharau, wamepigwa kihalali. Kuanzia dakika ya kwanza mchezo kwa upande wao ulikuwa mgumu. Burkinafaso siyo wanyonge, miaka siyo mingi walifika fainali ila wakapoteza kwa Egypt.Dah imeniuma sana [emoji22] waliingia kwa dharau
Hongera bukina
Mnapita kwenda nyumbani.Kumbe Bado mapema hivyo, ngoma droo hii inaenda matuta na waarabu tunapita.
Mwehu huyo, watu tunapenda mpira yeye anawaza ubaguzi tu. Hivi misri ya 2006 hadi 2010 kama mtu taifa lako halipo afcon kwanini usiishangilie?Anashabikia aina ya soka wanalocheza sio rangi/ asili yao.
Sijawahi kuona mechi ya mwarabu na giza refa akawa mwarabu, lazima awe giza tu hata kwenye caf cl ni hivyo hivyoKwenye mechi za Waarabu referee sijui huwa wanashikwa na wenge gani?
Duh we jamaa mi naona hauko sahihi...timu iliyokua imebalance idara zote kwa Afrika weusi ni Nigeria,,,ndo maana kila mtu alishangaa kufungwa na wachovu Tunisia.Nawakumbusha nilisema final ni Ivory Coast vs Burkina Faso ila hamkunielewa vizuri, nilimaanisha kati ya hawa wawili mmoja anatoka na ndoo hili. Ivory Coast ndio timu nzuri kuliko zote Afcon kwa mwaka huu ila kujiamini kwao kulipitiliza na bahati haikuwa kwao pia. Wangecheza kwa kujituma kama walivyocheza mashehe wale basi game iliisha mapema sana sio mbaya kwa kuwa wanakikosi cha dunia naamini world cup wataleta sana ushindani kama hawatapangiwa wababe wa dunia. Tabiri yangu sasa ni kama sio misri basi kombe linaenda Burkina Faso lads
Mi naona kombe linabaki Cameroon kuna mikakati naiona imesukwa.Wakipita Burkina Fasso unadhani mwenyeji lazima atinge fainali hata kwa mbeleko?