2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Tunisia wana nuksi sana maana hata match yao ya kwanza mpira ulimalizwa dk ya 85 baadae dk ya 89.
Leo zimeongezwa 4 kamaliza dk ya 3 na sekunde 44.
[emoji28][emoji28]

Kwenye mechi za Waarabu referee sijui huwa wanashikwa na wenge gani?
 
Anaitwa Blati Touré midfield kisheti anajua sana kuuchezea na kucheza na mpira
Watu wana vipaji sana.
Fuatilia Dogo mmoja wa Dodoma Jiji anaitwa Mukandala nae ni Mido ana vionjo sana jamii ya huyu jamaa.
 
Na ladha ya mpira inaondoka, waarabu ndio wanatufanya wengine tufuatilie hii michuano, otherwise tungepotezea.
Mpira wa kupata goli moja basi kupoteza mda na kulala ,leo si unaona mpira mtamu wamepigwa hakuna kupoteza mda pande zote,waarabu wazinguaji sana heri waondoke
 
Yani mtu hata kama sio shabiki wa B/faso lakini ataishabikia kwa nguvu zote ili tuu waarabu watoke, bado ubaguzi upo, tena sana. Nimefuatilia wachangiaji humu ni wachache sanaa may be 10 hawafiki wanaoshabikia timu za waarabu.

Tukemee ubaguzi ndugu zanguni, tusiwape nafasi wapumbafu wasiojitambua/wanaoendekeza chuki dhidi ya hawa ndugu zetu wa NORTH
 
Wao ni wabaguzi sana tu.
Pale Dodoma kuna timu ya waoka mikate. Sasa Waoka mikate karibu wote ni Waarabu. Wana timu yao ya Mpira. Wachezaji weusi wapo wachache sana na wanapo cheza lazima wawe mabeki wao Waarabu ni kuanzia namba 6 kwenda mbele. Kama huwezi back basi huna namba [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nawakumbusha nilisema final ni Ivory Coast vs Burkina Faso ila hamkunielewa vizuri, nilimaanisha kati ya hawa wawili mmoja anatoka na ndoo hili. Ivory Coast ndio timu nzuri kuliko zote Afcon kwa mwaka huu ila kujiamini kwao kulipitiliza na bahati haikuwa kwao pia. Wangecheza kwa kujituma kama walivyocheza mashehe wale basi game iliisha mapema sana sio mbaya kwa kuwa wanakikosi cha dunia naamini world cup wataleta sana ushindani kama hawatapangiwa wababe wa dunia. Tabiri yangu sasa ni kama sio misri basi kombe linaenda Burkina Faso lads
 
Dah imeniuma sana [emoji22] waliingia kwa dharau

Hongera bukina
Hakuna cha dharau, wamepigwa kihalali. Kuanzia dakika ya kwanza mchezo kwa upande wao ulikuwa mgumu. Burkinafaso siyo wanyonge, miaka siyo mingi walifika fainali ila wakapoteza kwa Egypt.
 
Anashabikia aina ya soka wanalocheza sio rangi/ asili yao.
Mwehu huyo, watu tunapenda mpira yeye anawaza ubaguzi tu. Hivi misri ya 2006 hadi 2010 kama mtu taifa lako halipo afcon kwanini usiishangilie?
 
Nawakumbusha nilisema final ni Ivory Coast vs Burkina Faso ila hamkunielewa vizuri, nilimaanisha kati ya hawa wawili mmoja anatoka na ndoo hili. Ivory Coast ndio timu nzuri kuliko zote Afcon kwa mwaka huu ila kujiamini kwao kulipitiliza na bahati haikuwa kwao pia. Wangecheza kwa kujituma kama walivyocheza mashehe wale basi game iliisha mapema sana sio mbaya kwa kuwa wanakikosi cha dunia naamini world cup wataleta sana ushindani kama hawatapangiwa wababe wa dunia. Tabiri yangu sasa ni kama sio misri basi kombe linaenda Burkina Faso lads
Duh we jamaa mi naona hauko sahihi...timu iliyokua imebalance idara zote kwa Afrika weusi ni Nigeria,,,ndo maana kila mtu alishangaa kufungwa na wachovu Tunisia.
 
Back
Top Bottom