Hakuna tuta hapo.Wamenyimwa tuta hawa
Refarii baada ya kutazama kwenye VAR kagundua jamaa alimnawisha Koulibaly kwa makusudiKwa nini Equtorial Guinea wamenyimwa mkwaju wa penalt? Wallah kama ingekuwa ni upande wa Senegal wangepewa penalt.
Sijaelewa
Ilikuwa Man United na Arsenal tu.. Chelsea ndo akaja kuibuka baada ya tajiri Abramovich kufanya yake.Hahaha miaka ile EPL mbio za ubingwa ni timu tatu tu, Man Utd, Arsenal na Chelsea
Sitashangaa Eq. Guinea akipata goli
Ndio maana nikazitaja timu 3 lakini kabla ya 2004 ni vita ya farasi wawili tuIlikuwa Man United na Arsenal tu.. Chelsea ndo akaja kuibuka baada ya tajiri Abramovich kufanya yake.
Hata hivyo mkono ulikuwa kwenye natural position.Refarii baada ya kutazama kwenye VAR kagundua jamaa alimnawisha Koulibaly kwa makusudi
Hahaha walijua washamaliza kaziHawa Senegal wameenda kula nini half time...