2021 AFCON Special Thread

Kwangu Bingwa wa Kombe hili ni Senegal

Wekeni hii post kwa kumbukumbu
Nawaomba mzidi Kuikumbuka Hii.

Toka Michuano hii Inaanza nilisimama Na Senegal na nina imani nayo. Endapo mambo yataenda tofauti sitoishabikia timu yyte ntabaki mtazamaji tu
 
Kama huamini mipira yetu ya kiafrika kuna wakati huko nyuma ilikua na figisu basi nadhani wewe ndio unafikra za KIPUMBAVU zaidi

Kuna sababu kwa kila kitu, umepewa sababu ya watu wengi kutokuahabikia waarabu HUZITAKI na kuziita za KIPUMBAVU, kuukata ukweli ndio UPUMBAVU wenyewe

Nimesema Sio vijiwe vya kahawa tu huku kwetu kwa Mtogole ambao hatushabikii timu za kiarabu, hata viunga vya Joberg, Abuja, Abijan, kiufupi ni Waafrika wote wasio na uasili wa uarabu

Sababu kubwa umeelezwa, wabaguzi wa kwanza ni waarabu wenyewe, kihistoria toka enzi hizo walioigana kutotaka kuwa wao ni bara la Afrika na hadi leo wanajiona kama wao ni Middle East county zaidi ya kujiona waafrika

So unavyoona hizo komenti ndio uhalisia uliopo Afrika nzima

Mwisho usiwapangie watu kupenda timu za kiarabu sababu ya DINI yako kama ulivyo jiainisha hapo juu
 
Thubutu! Hao wa michongo watapigwa nyingi na wanaume aka mafarao, kila la heri egypt ⌛

Nasubiri wabaguzi wa rangi waje kutoa mipovu yao hapa mammae.
Unapotetea hoja zako unaamini figisu na michingo ipo
Ila zikituhumiwa nchi za uarabuni kwa michingo inakua ni fikra za kipumbavu

Mkuu wewe shabikia timu utakayo lakini usiwaone wenzako wabaguzi kwasababu hawazipendi timu za kiarabu
 
Unapotetea hoja zako unaamini figisu na michingo ipo
Ila zikituhumiwa nchi za uarabuni kwa michingo inakua ni fikra za kipumbavu

Mkuu wewe shabikia timu utakayo lakini usiwaone wenzako wabaguzi kwasababu hawazipendi timu za kiarabu

Ucnifanye mimi mpumbavu kijana, fuatilia comments za nyuma mpaka hapa ulipokomenti, ndio utajuwa waafrika ndiyo wabaguzi sana, japo co wote. Hata wewe umeonyesha ni mbaguzi, sikiliza bwana, kubali kataa wenze2 wame2zidi, wanajuwa wanachofanya,,, wakishinda mechi mnaanza oh wanabebwa, oh wanajiangusha, oh mara cjui figisu!!! Mwanamme mzima unalalamika!!! Bac na wengine wafanye figisu washinde kama ndiyo kigezo chenyewe.

Huu uzi ulianza vizuri, mmekuja wabaguzi na uzi umepoteza mvuto,,,dahh hatari sana.


FORTALEZA wasiliana na mods wanaoleta ubaguzi humu wapigwe ban, wanakera sana.
 

Nilishakuambia hakuna cha figisu hapo, wenze2 wanajuwa mpira, co kama cc kelele nyingi ziczo na maana, na malalamiko na makasiriko kama yote. Ckiliza kijana, Kubali kataa umeonyesha ubaguzi, kwa maana huwapendi waarabu, endelea hivyo hivyo lakini huwapunguzii chochote kutoka kwao, bali unajishusha thamani, na hata kizazi kijacho kitafuata haya haya ubaguzi/malalamiko. Hapa nafikiria sana watoto wako watapata nini cha kujifunza kutoka kwako, very sad.


Kingine, cjalazimisha m2 afuate ama kushabikia asichopenda, hapa nakemea ubaguzi kijana.

Naendelea kukuwekea comments za kibaguzi, kwa maana bado kuna wapumbavu wacojielewa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…