Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #2,821
Mi akishinda Egypt au Senegal fresh tu...Team Senegal tujuane mapemaaaa
Mimi natamani atolewe cameroon tu, waliobaki yeyote achukueMi akishinda Egypt au Senegal fresh tu...
Nasimama na mnyonge, Bukinabe!Senegal anapita
Nasimama na mnyonge, Bukinabe!
Mi nambeba.Alimtoa mkubwa wake/tunisia, so acha atolewe
Pamoja sanaTeam Burkina Faso Like Hapa.
90% Burkina Faso Tunaenda Fainali, kupooza Machungu ya Nchi Yetu Pendwa Kupinduliwa na Katiba Kuporwa
Msikimbie tuuWanangu wa Bukinabe
Mwafrika hajawahi kuwa mbaguzi.
Wamezoea mapambano hawaView attachment 2105739
Tunakumbushana tuu Hawa Ni Burkina Faso Wapo Millioni 20 sisi ni Mara Tatu Yao, Juzi Serikali yao Imepinduliwa, Lakini Timu ya Taifa Ipo Nusu Fainali Afcon, Hakuna Rais Alieye watembelea wala kuwapigia simu
akimbii mtuMsikimbie tuu
LEo burkina faso anapita...aisee hii game bwana koulibalyh bonge la beki alafu huku upande wa pili napo kuna kijana centre back wa ukweli jersey no. 12. Wacha nione kama atanifurahisha huyu beki.Msikimbie tuu