2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Kwakweli mimi leo kati ya Burkna Faso na Senegal Mimi ni Burkna Faso kindaki ndaki ila sasa sioni leo wakitoboa jamaa hawa hivyo karata yangu inaenda Senegal [emoji1211] leo wanaenda fainali
 
IMG_4657.png

Tunakumbushana tuu Hawa Ni Burkina Faso Wapo Millioni 20 sisi ni Mara Tatu Yao, Juzi Serikali yao Imepinduliwa, Lakini Timu ya Taifa Ipo Nusu Fainali Afcon, Hakuna Rais Alieye watembelea wala kuwapigia simu
 
Back
Top Bottom