Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #2,881
Japo ina utata, ila kwangu hamna penatiSenegal wanapata Penalty
Hesgoal.comLink ya kustream ?
Yes I said itJapo ina utata, ila kwangu hamna penati
refa aliweka penati kabla ya kukataa kwenye VARPenati ipi,acha midadi
Refa kipindi cha kwanza kaumudu mchezo japo umekua na kasi sana na matukio yenye utata.ila kajitahidi kufanya maamuzi sahihi.Ahsante VAR
Game bado ni 50/50 japo naona senegal wanafika zaidi langoni kwa burkina faso.Burkina faso anatakiwa kuongeza umakini zaidi hasa kwenye beki line yake pamoja na safu ya ushambuliaji.Ila mmewaonaje Bukinabe?
Kabisa na viungo wa Senegal wamepotezwa.Game bado ni 50/50 japo naona senegal wanafika zaidi langoni kwa burkina faso.Burkina faso anatakiwa kuongeza umakini zaidi hasa kwenye beki line yake pamoja na safu ya ushambuliaji.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Beki wa shoka kwelikweliJamani mnaona huyo topsuba beki anapiga pasi za kwenda mbele tuu...sio beki kila mida unarudisha mpira kwa kipa.
Mabeki wetu wa bongo wajifunze kwa dogo huyo. Hi,o ndio standards za kucheza ulaya