Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #2,901
Mechi ina ubabe wa kutosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesho vipi mkuu kuusu mechi ya Cameroon, hamna Corona kwa yeyote??Mechi ina ubabe wa kutosha
Hakuna taarifa yoyote mpk sasa, ila kuanzia sasa mpaka kesho muda wa mechi lolote linaweza kutokea maana mcheza kwao hutunzwa!Kesho vipi mkuu kuusu mechi ya Cameroon, hamna Corona kwa yeyote??
Traore amepoteza clear chanceHawa Burkinabe soon watafungwa wanatengeneza nafasi nyingi sana afu wanazingua, Traore kashachoka... forwardline haieleweki inacheza mpira gani... hizo chances akizipata Senegal wanafungwa hata goli 3
Jumlisha na miaka yake mingine aloacha huku Africa hawezi kukosa miaka 35 and above,.... Serie A ishakua ligi laini laini sasa hivi hata Inter, Milan na Juve wakimtaka anaenda tu hawezi kukosa namba, kwa navyomuona anacheza km kweli ana miaka 30 basi atastaafu na miaka 35 sioni km ana zaidia ya miaka mi5 kwenye ligi za ushindaniKoulibaly ameamua kuzeekea Napoli, jamaa ana uwezo sana ila ndio hivyo miaka 30 hamna timu kubwa itamtaka
HahahaWanangu wa Bukinabe tunarudisha?
Ebana eeeeeh