2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Hawa bukinabe pumbavu zao kweli,wamekaza muda wote mwisho mwisho ndio wameachia😠😡...ila nafasi ipo bukinabe wanatinga fainal
 
Senegal ina watoto wadogo wamejipanga na inaonekana senegal wamewekeza sana kwa vijana
 
Bado moja, hawa kuna ujinga walianza kufanya baada ya kugain confidence bila kujua kua Senegal wana game changer any time anasababisha madhara, Sadio Mane....!
 
Back
Top Bottom