2021 AFCON Special Thread

Koulibaly ameamua kuzeekea Napoli, jamaa ana uwezo sana ila ndio hivyo miaka 30 hamna timu kubwa itamtaka
Jumlisha na miaka yake mingine aloacha huku Africa hawezi kukosa miaka 35 and above,.... Serie A ishakua ligi laini laini sasa hivi hata Inter, Milan na Juve wakimtaka anaenda tu hawezi kukosa namba, kwa navyomuona anacheza km kweli ana miaka 30 basi atastaafu na miaka 35 sioni km ana zaidia ya miaka mi5 kwenye ligi za ushindani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…