Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #3,041
Timu zinaingia uwanjani
Daah pole sana mkuuDah tanesco wamefanya mambo yao huku jamani sie wa kaliua tupo gizani...mtupe matokeo
Lolote laweza kutokeaMaraaaa paaaaapuuuuuu....kapita
Asante bwana ..nitakuwa nafuatilia hapa nioneDaah pole sana mkuu
Sisi kama wadau tutajitahidi kutupia updates kwa kadri ya uwezo wetuAsante bwana ..nitakuwa nafuatilia hapa nione
Egypt wameamua kumuheshimu mwenyejiEgypt wanacheza kwa nidhamu na umakini mkubwa!!