2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Cameroon sjui njia aliyopitia ni rahisi au sjui nini?! Naona Egypt na Senegal hawakua title contenders, kelele nyingi zilikua kwa Algeria, Nigeria, Morocco na Tunisia.... Egypt na Senegal wamegain momentum taratibu kadri tournament ilivyokua inasogea,.. Cameroon sijaona km kapata challenge ya kutosha this time,nataka nimuone kesho kwa Pharaos then akipita nitamuona pia kwa Msenegali

Waliotolewa waliongelewa sana na kupewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa 😁

Binafc, navyoona cameroon anatolewa, labda wa2mie mbinu zao za mchongo nusu ya Egypt wakutwe na corona akiwemo na Salaah 😁
 
Nusu Fainali ya Pili

25D00591-F07A-4FF9-9649-C7796225AD4E.jpeg
 
Back
Top Bottom