2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Aboubakar on Mo Salah

459C2241-71ED-4904-96C3-D2B298C2E933.jpeg
 
Baada ya jana sisi wazalendo wa Burkinabe kutolewa na Wasenegal Kwa mbinde sana, leo kama kawa kama kawaida nipo upande wa ndugu zangu Mapharao.

Karibuni sana muenjoy soka la kiarabu...!!!

Tunajua ni game ngumu, but promise We'll hit em where it pains.
 
Back
Top Bottom