2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Koulibaly ameamua kuzeekea Napoli, jamaa ana uwezo sana ila ndio hivyo miaka 30 hamna timu kubwa itamtaka
Koulibally walimharibia Napoli wenyewe kwa kuweka price tag ya 100 pounds.

Mchezaji gani mweusi anaweza kununuliwa pesa hiyo tena defender?

Kilichokuja kuharibu zaidi ni mechi yao na Barcelona alionekana kufanya makosa mengi sana kuanzia pale hakuna timu kubwa ilimtaka tena.

By the way timu pekee iliyomuhitaji Koulibally ni United chini ya Mourinho.
 
Kesho Cameroon abebwe ili akutane na Senegal fainali
Nusu fainali ya kesho inanikumbusha robo fainali ya AFCON 2002, Cameroon alimtoa Egypt 1-0, baadae akamtandika Mali na kutinga fainali ambapo alikutana na Senegal alietoka kumchapa Nigeria 2-1 kwenye nusu fainali
Mwisho wa siku Cameroon alishinda kwa penalty 3-2 na kubeba ubingwa wake wa 4, je historia itajirudia tena Cameroon vs Senegal kukutana fainali?! Historia itajirudia tena kwa Cameroon kumtoa Egypt safari hii ikiwa ni kwenye nusu fainali?!
Ni jambo la kusubiri na kuona
 
Historia ni mwalimu mzuri, asante kwa kutukumbusha
 
Nusu fainali ya kesho inanikumbusha robo fainali ya AFCON 2002, Cameroon alimtoa Egypt 1-0, baadae akamtandika Mali na kutinga fainali ambapo alikutana na Senegal alietoka kumchapa Nigeria 2-1 kwenye nusu fainali
Mwisho wa siku Cameroon alishinda kwa penalty 3-2 na kubeba ubingwa wake wa 4, je historia itajirudia tena Cameroon vs Senegal kukutana fainali?! Historia itajirudia tena kwa Cameroon kumtoa Egypt safari hii ikiwa ni kwenye nusu fainali?!
Ni jambo la kusubiri na kuona

Umeona likinyonga linavyobadili rangi,na mafalao ivyo ivyo Chief metal,,,,,ngoja kesho 2mnyooshe mchongo kisha atafuatia senegal.
 
Cameroon sjui njia aliyopitia ni rahisi au sjui nini?! Naona Egypt na Senegal hawakua title contenders, kelele nyingi zilikua kwa Algeria, Nigeria, Morocco na Tunisia.... Egypt na Senegal wamegain momentum taratibu kadri tournament ilivyokua inasogea,.. Cameroon sijaona km kapata challenge ya kutosha this time,nataka nimuone kesho kwa Pharaos then akipita nitamuona pia kwa Msenegali
 
Mane mnyama fulani mkalii...
images.jpeg
 
Back
Top Bottom