Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #3,061
Tuone dk 90 zitaamuajeTeam Egypt hapa , Cameron lazima akae leo
Mnoooo, anabebwa mpk anakeraKwa figisu Cameroon anaweza sana
Refa anafoka kama sijui nnKocha wa Egypt anapiga magoti kwenye touchline kulalamika kuhusu kubebwa kwa Cameroon
Refa kampa kadi ya njano
πππ yah mkuuRefa anafoka kama sijui nn
Anarusha mikono kama vita queroz amegoma kurud nyuma
Atakua anasema dogo nilikua man u pemben ya ferg epl sijaona uchezeshaji kama wako ππ