2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Kipindi ya pili sisi waarabu tukachukue ushindi wetu hatuendi matuta sisi.
 
Refa amejaribu kuwa makini first half.

Timu zimecheza kwa kuheshimiana na nidhamu ya juu zaid japo hatari zilituelemea kidogo sisi Waarabu.

The end will decide.
 
Naona Mo Salah kawekewa Suma JKT watatu wakummark muda wote as if wameambiwa hajavaa soksi...!!
 
Mwanangu Mahmoud H Trezeguet anaingia sasa Misri tukaanza rasmi pira letu
 
Salah tukifungwa Airport tunakupokea na virungu
 
Kwa aina ya mchezo na jinsi Egypt wanavyocheza sitashangaa wakipata goli na kuibuka na ushindi
 
Back
Top Bottom