2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Hawa cameroon wakienda extra time wanapigwa
Naona kabisaa pumzi imekata
 
Cameroon kwa mbio walizoanza nazo first half nilijua tu upepo kipind cha pili lazm ukate na hapa ndio mwarab anapochukua point zake ss
 
Cameroon kwa mbio walizoanza nazo first half nilijua tu upepo kipind cha pili lazm ukate na hapa ndio mwarab anapochukua point zake ss
Egypt kama vile Mo Farah kwenye mbio ndefu. Anakutanguliza kama mita 40 halafu anakuacha mpaka zibaki round 2 then anakupita kama umesimama na anamaliza mbio namba 1.
 
Back
Top Bottom