Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
Cameroon walikosa nidhamu tu mbona game iliisha kipind Cha kwanzaEgypt akifika fainali ni ngumu kumzuia, nawatabiria watabeba ndoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cameroon walikosa nidhamu tu mbona game iliisha kipind Cha kwanzaEgypt akifika fainali ni ngumu kumzuia, nawatabiria watabeba ndoo
Cameroon gani jamani[emoji16]Maneno yangu ni yale yale Cameroon to the final kukutana na mnyama Mane..
Alikuwa amechanganya idadi ya mapigo ya penalti akidhani bado yanaendelea kumbe ndio imeisha hiyo.Sijaelewa refa alichofanya baada ya cameeoon kukosa penati ya mwisho, ni kama alizuia Egypt kushangilia then akaruhusu
KabisaTatizo la timu za kaskazini Algeria,Morocco, Misri, Mali zinaonekana nzuri zikiwa humu humu ndani world zinatokaga Bila kuwa na point hapo ndo ninapokereka, Hawa black wanapambana Hilo, das Huwa sielew kwanini
karibu uarabuniEgypt akifika fainali ni ngumu kumzuia, nawatabiria watabeba ndoo
Na ndio maana najikuta sio mshabiki WA hizo timu kabisaKabisa
Jpili, Mane Money ananyanyua ndoo na kumfuta Machozi Alou cisse
Billion tatu za kila mchezaji zimeota mbawa jamani
Senegal bingwa tayari
Ilikuwaje algeria akasepeshwa mapema?Kwa waarabu hata kama wameahidiwa bilioni 10 kwa kila mchezaji na bado hawataweza
Mimi nasubiri atakaechukua kombe ndio namshabikia, maana nimehama timu kama saba hivi, ingawa roho inaniambia nitue misriNahamia Senegal Sasa Kwani si Kila mtu shabikia kile anapenda Ila Mimi ni mnigeria huku naenda Kwa mkopo tu
Kumbuka wametoka kucheza fifa arab cup, so wamechoka sana. Na Algeria ndie mshindi wa mashindano hayo baada ya kumchapa morocco.Ilikuwaje algeria akasepeshwa mapema?
😂😂😂😂nashukuru nilihamia cameroon wamefanya ujinga kuanzia Leo Mimi ni msenegal mpaka jumapili baada ya hapo narudi zangu tz sio lazima sana nichukue ndoo Ila nikichukua itapendeza zaidiMimi nasubiri atakaechukua kombe ndio namshabikia, maana nimehama timu kama saba hivi, ingawa roho inaniambia nitue misri
Fifa arab cup ni kombe lenye hadhi kubwa kubwa kuliko afcon, anyway kupanga ni kuchaguaKumbuka wametoka kucheza fifa arab cup, so wamechoka sana. Na Algeria ndie mshindi wa mashindano hayo baada ya kumchapa morocco.
No. Alikuwa anahakikisha kwa VAR kama kipa alitoka kwanza kabla mpigaji hajapiga tuta.Alikuwa amechanganya idadi ya mapigo ya penalti akidhani bado yanaendelea kumbe ndio imeisha hiyo.