2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Bora watoke, waliwafanyia uhuni Comoros.
Sure.
Halafu walikutana na timu laini laini sana. Tulisema hapa hawajakutana na taste halisi ya AFCON..
Ukutane na Comoros tena kwa Mchongo.. Gambia unategemea nini.
 
Wanangu wa Misri oyeee!!

Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeèeeeeee😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁🏋️‍♀️🏋️‍♀️🏋️‍♀️🏋️‍♀️🏋️‍♀️🏋️‍♀️🏋️‍♀️😁😁😁🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️🤸‍♂️😁😁😁😁
 
Hapo Cameroon hajakutana na Burkinafaso tena, naona kabs hata nafasiya tatu anakosa
 
Back
Top Bottom