2021 AFCON Special Thread

Tatizo la timu za kaskazini Algeria,Morocco, Misri, Mali zinaonekana nzuri zikiwa humu humu ndani world zinatokaga Bila kuwa na point hapo ndo ninapokereka, Hawa black wanapambana Hilo, sasa huwa sielew kwanini wanakwama world cup kama huku wanakomaa hivyo
 
Sijaelewa refa alichofanya baada ya cameeoon kukosa penati ya mwisho, ni kama alizuia Egypt kushangilia then akaruhusu
 
Sijaelewa refa alichofanya baada ya cameeoon kukosa penati ya mwisho, ni kama alizuia Egypt kushangilia then akaruhusu
Alikuwa amechanganya idadi ya mapigo ya penalti akidhani bado yanaendelea kumbe ndio imeisha hiyo.
 
Tatizo la timu za kaskazini Algeria,Morocco, Misri, Mali zinaonekana nzuri zikiwa humu humu ndani world zinatokaga Bila kuwa na point hapo ndo ninapokereka, Hawa black wanapambana Hilo, das Huwa sielew kwanini
Kabisa
 
Nahamia Senegal Sasa Kwani si Kila mtu shabikia kile anapenda Ila Mimi ni mnigeria huku naenda Kwa mkopo tu
Mimi nasubiri atakaechukua kombe ndio namshabikia, maana nimehama timu kama saba hivi, ingawa roho inaniambia nitue misri
 
Mimi nasubiri atakaechukua kombe ndio namshabikia, maana nimehama timu kama saba hivi, ingawa roho inaniambia nitue misri
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚nashukuru nilihamia cameroon wamefanya ujinga kuanzia Leo Mimi ni msenegal mpaka jumapili baada ya hapo narudi zangu tz sio lazima sana nichukue ndoo Ila nikichukua itapendeza zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…