2021 AFCON Special Thread

Mimi sijaelewa mbona jana Misri wamefanya sub wachezaji sita badala ya watano?
 
Nilichogundua misri sio wa kwenda nao matuta, watakutoa mchana kweupeeeeeeeeee
 
Mashindano yametwaharika (yamekuwa masafi )baada ya waliyo yanajisi kutolewa katika nusu fainali ile figisu waliyo fanyiwa wapemba (commoro )siwezi kuifuta katika kumbukumbu zangu za soka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…