Hardlife
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 2,758
- 6,299
Nilihisi hivyo ndio maana nikaulizaPenati wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilihisi hivyo ndio maana nikaulizaPenati wakuu
Huyu golikipa namba mbili aliyeingia🚮🚮Aboubakar anafungaaa
2-2Outara anapiga penati nzuri...anapata
Nimesema hapa.Burkina Faso atakuwa mshindi wa 4.
Wamekata tamaa sana.
hata mimi siwezi kupiga penati hivyoWanaenda kupiga Burkinabe...wanakosa
2-3
Tena goli hilo hilo la kushoto hahahaKounde wa Cameroon anapiga penati kali sana ambayo mara ya mwisho alipiga Zidane dhidi ya Buffon katka Fainali ya World Cup 2006
Wamepata....Cameroon ndio washindi wa tatu na wanashangilia kweli kweliCameroon wakipata hii watakuwa ndio washindi wa tatu