2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Naifagilia Senegal kushinda leo tena ndani ya muda wa kawaida. Kwa mechi hizi mbili za robo na nusu fainali Senegal wame-improve sana hasa safu yao ya ushambuliaji.

Hivyo kama wata-maintain hiyo form na momentum nawapa nafasi kubwa ya kulitwaa kombe hilo kwa mara ya kwanza katika historia yao.
 
Best player of the tournament ila atapewa Salah au Mane kutegemea na atakayebeba ubingwa the world is unfair.
World Cup ya mwaka 2014 ubingwa walitwaa Germany ila best player akawa Leo Messi

Saa nyingine kama ulivyosema, Dunia haina usawa
 
Haya kila lenye mwanzo halikosi mwisho, safari yetu ya takribani wiki tatu na nusu inafikia tamati leo, ndiyo ni mchezo wa Fainali

Ni Senegal Vs Egypt, Saa 4:00 Usiku pale Olembe Stadium jijini Younde!

Ni Mane Vs Salah

AF5BB044-D5F1-4825-9D60-E94425E39435.jpeg
 
Senegal Senegal ninawaomba tu mchukue hii ndiooo, chochonde msiruhusu mkaenda mpaka matuta game iishe ndani ya Dak 90
 
Back
Top Bottom