Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #3,421
8Anagoli ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
8Anagoli ngapi?
Eeh! Hapo hakuna wakumfikia
...kocha wao ndio mwenye bahati mbaya na fainali.Team Senegal tujuane mapema japo Senegal ina bahati mbaya na fainali
Best player of the tournament ila atapewa Salah au Mane kutegemea na atakayebeba ubingwa the world is unfair.Kimahesabu bado ila kiuhalisia tayari
World Cup ya mwaka 2014 ubingwa walitwaa Germany ila best player akawa Leo MessiBest player of the tournament ila atapewa Salah au Mane kutegemea na atakayebeba ubingwa the world is unfair.
Team Senegal tujuane mapema japo Senegal ina bahati mbaya na fainali
Kocha??Ningetaman Sana yule kocha mu Ethiopia aliyefuta penalty mbili za Senegal dhidi ya burkinafaso kupitia var achezeshe mechi ya Leo, huwa Na enjoy sana ninapomuona kazini ananikumbusha Pierlluigi Collina
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Kocha??
Typing error!! maelezo yanajitosheleza ndio maana nikamfananisha na Collina, comment yako imekaa kijinga na kitoto zaid, au unajua Collina ni kocha?Kocha??
Kwahyo utaki kukumbushwa? OkTyping error!! maelezo yanajitosheleza ndio maana nikamfananisha na Collina, comment yako imekaa kijinga na kitoto zaid, au unajua Collina ni kocha?
Wa Cameroon hatunapande.