Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #3,481
Senegal wasipoangalia mkosi wa Fainali utaendelea kuwaandama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Penati
Alijua akipiga shuti ndo atafunga kirahisiMane kama alipanic kwa ule upigaj
Dah huyu keeper hafai aisee
Huwa napenda mbinu za kujilinda za Egypt
YahNipo Senegal, ila wakitaka kubeba hii ndoo wamalize mchezo ndani ya dk 90.
Huyu Gabaski sio kabisa kwa penati, halafu Mendy mbovu kwenye panati
Wamepoteza nafasi muhimu SanaGolikipa Gabaski anasevu mkwaju wa Penati wa Mane
0-0
Wako vizuri kwenye hiloZinaitwa Jihad
Wanaweza wakaja kuikumbuka baadaeWamepoteza nafasi muhimu Sana
Alijua akipiga shuti ndo atafunga kirahisi