2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Waarabu wamekuja kupaki basi wakisubiria Matuta, shauri yao Leo hakuna shati golini mwa Senegal.
 
M
Fainali zilizopita ilipocheza Senegal na Algeria nilikuwa upande wa waarabu, leo tena anacheza Senegal na Mwarabu moyo wangu unatamani Senegal washinde japo mimi sio shabiki yao.


Ila mkuu ulikuwa una shabikia team la ajabu sana, Cameroon bila kubebwa hâta walipofika hawakustahili kabisa.
Mimi nahama timu kila kukicha hii ni baada ya Algeria kuondoshwa mashindanoni
 
Back
Top Bottom