Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Nauliza tu.Umegundua nini kwakwe?
Senegal yeye hawezi kupigwa?Misri watapigwa tu,ni suala la muda tu.
Ngozi NYEUSI kwenye matuta ni ZEROWaarabu wamekuja kupaki basi wakisubiria Matuta, shauri yao Leo hakuna shati golini mwa Senegal.
Senegal anapigwa leoMisri watapigwa tu,ni suala la muda tu.
Tangu wakose penat ..dalili zilikuwa dhahiriSenegal anapigwa leo
Mimi nahama timu kila kukicha hii ni baada ya Algeria kuondoshwa mashindanoniFainali zilizopita ilipocheza Senegal na Algeria nilikuwa upande wa waarabu, leo tena anacheza Senegal na Mwarabu moyo wangu unatamani Senegal washinde japo mimi sio shabiki yao.
Ila mkuu ulikuwa una shabikia team la ajabu sana, Cameroon bila kubebwa hâta walipofika hawakustahili kabisa.
Hata huku hatuna stimaNgapi huko?!..tanesco wamebeba steamer
0-0Ngapi huko?!..tanesco wamebeba steamer