Kuna uwezekano wa Senegal kufungwa kwenye tutaHawataki kutulia hawa Senegal sasa ngoja wafike kwenye matuta[emoji57]
Noma sanaEgypt atakuwa anacheza extra time mechi ya 3 mfululizo
Na huwa wakifika time hiyo ni ngumu kuwazuia....wakirud wanarud na nguvu za ajabu...mane alizingua ile penati .alikamia wakati anajua kbisa salah keshamwelekeza kipaNoma sana
Waarabu wamekuja kupaki basi wakisubiria Matuta, shauri yao Leo hakuna shati golini mwa Senegal.
Watakutana sana na inaonekana kwenye upande wa kupiga penalti Senegal hawako vizuri sanaWatajuta
Mwarabu wa sikongeإذا كنت تريد الفوز ضدنا ، فلا تتحدث كثيرًا ، دعنا نلعب لعبة عادلة
Tusaidie tusiojua lugha hiyoإذا كنت تريد الفوز ضدنا ، فلا تتحدث كثيرًا ، دعنا نلعب لعبة عادلة
Mwamba ndio Kirusi Kwa SenegalHuyu kipa wa misri huyu ni nyoko sana