2021 AFCON Special Thread

Kwa kiwango hiki Egypt hawafiki mbali
Cjui wametumia vigezo gan kumpa timu Carlos Quiroz ambae hana mbinu na soka la kuvutia

Kwa game waliyoonyesha jana hata mimi namashaka hawafiki mbali kamanda....mwaka huu Nigeria wamejipanga.....Egypt wangelikua wanatumia makocha wazawa , hao wazungu wanaenda kula hela hakuna kocha hapo
 
BlackPanther kanishawishi tuishabikie ila moyo wangu unajiona kusita. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Timu mbili za hili group ni zipi? Tuone kama kuna kutoboa.

Usikate tamaa mapema, ni suala la muda tu....Algeria ndiyo kawaida yao, next match atakichafuwa balaa.....

Timu nazoshabikia ni ALGERIA and MOROCCO, Algeria akitoka naenda na Morocco πŸ’ͺπŸ½πŸ˜€
 
Usikate tamaa mapema, ni suala la muda tu....Algeria ndiyo kawaida yao, next match atakichafuwa balaa.....

Timu nazoshabikia ni ALGERIA and MOROCCO, Algeria akitoka naenda na Morocco πŸ’ͺπŸ½πŸ˜€
Wakitoka wote je? πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…