2021 AFCON Special Thread

naona mechi ime- delay
 
Timu zetu za Tanzania haswa wachezaji wanapaswa wajifunze mbinu na ujuzi unao onyeshwa na timu mbalimbali badala ya kushngaa na kushangilia.
Ujuzi mkubwa sana unaonyeshwa na timu zilizo shiriki awamu hii.
 
Kama hiyo goli iliyofungwa jamaa kalenga angle kwenye mazingira magumu
 
Term hii waraabu hamupati kitu si Misri, Morocco,Algeria,Tunisia.
Rangi nyeusi zamu yetu 2022
naona pia kama kuna plan ya kuwakomoa ,hivi rais wa CAF si ndo Mwafrica Kusini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…