Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
naona mechi ime- delayMechi inayofiata kati ya Gambia na Mauritania ina mvuto wake wa kipekee kwa vilabu vya Simba na Yanga. Mauritania wanaongozwa na aliyewahi kuwa kocha wa Simba Didier Gomes Da Rosa huku Gambia wakiongozwa na aliyewahi kuwa kocha wa Yanga Tom Saintfiet. Tuchukue popcorn kusubiria mechi ianze.