2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Mechi inayofiata kati ya Gambia na Mauritania ina mvuto wake wa kipekee kwa vilabu vya Simba na Yanga. Mauritania wanaongozwa na aliyewahi kuwa kocha wa Simba Didier Gomes Da Rosa huku Gambia wakiongozwa na aliyewahi kuwa kocha wa Yanga Tom Saintfiet. Tuchukue popcorn kusubiria mechi ianze.
naona mechi ime- delay
 
Timu zetu za Tanzania haswa wachezaji wanapaswa wajifunze mbinu na ujuzi unao onyeshwa na timu mbalimbali badala ya kushngaa na kushangilia.
Ujuzi mkubwa sana unaonyeshwa na timu zilizo shiriki awamu hii.
 
Kama hiyo goli iliyofungwa jamaa kalenga angle kwenye mazingira magumu
 
Term hii waraabu hamupati kitu si Misri, Morocco,Algeria,Tunisia.
Rangi nyeusi zamu yetu 2022
naona pia kama kuna plan ya kuwakomoa ,hivi rais wa CAF si ndo Mwafrica Kusini?
 
Back
Top Bottom