2021 AFCON Special Thread

Huyu beki wa Cameroon anayemkamba namba 11 wa Ethiopia leo kazi anayo maana jamaa akipewa pass ana spidi ya radi
 
Hii mechi nasogeza tu mda ifike ya Simba ,mechi kali ila upenzi nao ni ishu
🤣 Mi mwenyewe wanaonizunguka hapa ni Makolo wenzio 😎 hivyo hapa wanasubiria tu ifike saa mbili wahamie Zanzibar. 🤣
 
Term hii waraabu hamupati kitu si Misri, Morocco,Algeria,Tunisia.
Rangi nyeusi zamu yetu 2022

Usidhani timu za North mashabiki wake ni waarabu tu 😃, refer comments za humu utaona timu zao zinapendwa


Mimi ni shabiki mkubwa wa Algeria kamanda, yani hapo huniambii kitu......i wish Algeria abebe, kama si yeye basi Morocco

Alafu huu ni mwanzo tu, ngoja kwenye Quarter final or Semi final ndiyo utaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…