Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilifikiri labda ni coach wao lakini ninaangalia profile yake ya kawaida sana. Watakuwa na ligi nzuri. St. George nawakumbuka CECAFA challenge cup sema siku hizi haina mvutoTusisahau Ethiopia wana klabu nzuri sana kwa ukanda wetu japo siku hizi siisikii sana St. George
Mpaka sasa tunaeza sema ni bahati tu ndo imesababisha matokeo kubakia hivi sababu kosakosa kama zote.Leo bdo game ya kwanza afcon ianze kuwa na magoli 3 au zaidi
Hakika. Na kiukweli leo tunaenjoy soccer.halafu na kelele za mashabiki zinaleta amshaamsha siyo butu butu
😅😅😅Cameroon wanapelekewa moto
Aisee ujue mpaka sasa siamini mana si kwa kandanda hili wanaonyesha.Hata mimi wamenishangaza, underdog ila wako vema
Nilifikiri labda ni coach wao lakini ninaangalia profile yake ya kawaida sana. Watakuwa na ligi nzuri. St. George nawakumbuka CECAFA challenge cup sema siku hizi haina mvuto
Hatuna deni kwao, ila nnavyojua soka la afrika usishangae mwenyeji akapewa hata tutaAisee ujue mpaka sasa siamini mana si kwa kandanda hili wanaonyesha.
Yaani utadhania ni mechi ya vigogo wawili. 😀
🤣 Mi mwenyewe wanaonizunguka hapa ni Makolo wenzio 😎 hivyo hapa wanasubiria tu ifike saa mbili wahamie Zanzibar. 🤣Hii mechi nasogeza tu mda ifike ya Simba ,mechi kali ila upenzi nao ni ishu
Wachezaji wao wote wanacheza soka ndaniEthiopia kwani wana wachezaji wanaocheza nje? Mbona majamaa wako vizuri kupiga mashuti
Basi hatufanani nao hata kidogoWachezaji wao wote wanacheza soka ndani
Halishindikani hilo japo hii inatokea sana maji yakiwa ya shingo.Hatuna deni kwao, ila nnavyojua soka la afrika usishangae mwenyeji akapewa hata tuta
Ligi yao inaushindani mzuri halafu huwa inarushwa DstvBasi hatufanani nao hata kidogo
Term hii waraabu hamupati kitu si Misri, Morocco,Algeria,Tunisia.
Rangi nyeusi zamu yetu 2022