Cameroon wanafunga goli la 3Tanescooooooo
HuoooooooooTanescooooooo
Huenda hizi mechi za pili na kuendelea kukawa na bao za kutosha kama game zitakuwa za kushambuliana namna hii.83' CMR 4-1 ETH
Huyu mzambia leo kaborongaView attachment 2078749
Ni matumaini yetu magoli yajeHuenda hizi mechi za pili na kuendelea kukawa na bao za kutosha kama game zitakuwa za kushambuliana namna hii.
Ilikuwaje kamanda? Nani kabebwa?
Ilikuwaje kamanda FORT? Mwisho ilikata networkRefa wa jana alivyochemsha
Refa alimaliza mpira dk ya 89Ilikuwaje kamanda FORT? Mwisho ilikata network
Hutaki kakata tamaa. ππUsidhani timu za North mashabiki wake ni waarabu tu π, refer comments za humu utaona timu zao zinapendwa
Mimi ni shabiki mkubwa wa Algeria kamanda, yani hapo huniambii kitu......i wish Algeria abebe, kama si yeye basi Morocco
Alafu huu ni mwanzo tu, ngoja kwenye Quarter final or Semi final ndiyo utaelewa
Ujue hadi nilimuonea huruma. Sa sijui ni saa ilimdanganya?Refa alimaliza mpira dk ya 89