2021 AFCON Special Thread

2021 AFCON Special Thread

Usidhani timu za North mashabiki wake ni waarabu tu 😃, refer comments za humu utaona timu zao zinapendwa


Mimi ni shabiki mkubwa wa Algeria kamanda, yani hapo huniambii kitu......i wish Algeria abebe, kama si yeye basi Morocco

Alafu huu ni mwanzo tu, ngoja kwenye Quarter final or Semi final ndiyo utaelewa
Hutaki kakata tamaa. 😀😀
 
Refa alimaliza mpira dk ya 89
Ujue hadi nilimuonea huruma. Sa sijui ni saa ilimdanganya?

Japo sitaki kuamini sababu na wenzie pia walikuwa na saa mkononi na walikuwa na uwezo wa kumwambia muda bado.
 
Back
Top Bottom