2021 AFCON Special Thread

Eti Gambia yupo

Commoro yupo

Malawi yupo

Carpe verde yupo

Tz,Ug wala Kenya hakuna timu.

Sijuia changamoto yetu inakuwa wapi. Kimsingi ilipaswa kila mashindano CECAFA iwe na timu yake.
 
Sema Mimi Huwa siwakubali kabisaa hasa kwenywe kuliwakilisha bara la Africa huko world cup huwa wanaruka ruka tu wanatolewa, tofauti na timu kama Ghana,Senegal,Cameroon, Nigeria wakiingia world cup wanapambana hata wakitolewa kuna kuwaga kama Kuna kafigisu Fulani kamefanyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…