2021 AFCON Special Thread

Eti Gambia yupo

Commoro yupo

Malawi yupo

Carpe verde yupo

Tz,Ug wala Kenya hakuna timu.

Sijuia changamoto yetu inakuwa wapi. Kimsingi ilipaswa kila mashindano CECAFA iwe na timu yake.
Sie east africa hatujui mpira bwana na kuweka siasa pasipokuwa na haja ya siasa.

Alafu jambo moja nimegundua hizi timu za west na north wachezaji wao wengi walizaliwa ulaya au walienda huko wakiwa wadogo. Huku tuna kale kamsemo ketu cha tunavipaji 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hamna looye sitawasahau nigeria walivyotuangusha france 98 dhidi ya denmark....watu tukanua yes mwaka wetu. Loh hicho tulichoishia kukiona🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…