2021 AFCON Special Thread

Kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 10 hatutimuona kocha Herve Renard katika michuano hii, ikumbukwe kocha huyu ndio kocha pekee kutwaa taji hilo mara mbili akiwa na timu tofauti (Zambia & Ivory Coast)

View attachment 2074591
Jamaa alikua anataka kufanania na haya mashindano
Alipapenda africa alioa kbs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…