A Kopite
Member
- Mar 3, 2018
- 72
- 94
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utvmbona zbc2 sioni hizi mechi za leo???
Jamaa alikua anataka kufanania na haya mashindanoKwa mara ya kwanza ndani ya miaka 10 hatutimuona kocha Herve Renard katika michuano hii, ikumbukwe kocha huyu ndio kocha pekee kutwaa taji hilo mara mbili akiwa na timu tofauti (Zambia & Ivory Coast)
View attachment 2074591
Aliyajulia sana!Jamaa alikua anataka kufanania na haya mashindano
Alipapenda africa alioa kbs
Ngoja tuone utabiri wako kama utatimiaNaipa nafasi Algeria kutetea hili kombe, senegal wanakikosi kizuri ila hawana bahati.
Mfungaji bora atakua Riyad mahrez
Huu uwanja upo cameroon
Andre zoumba Anguisa bonge la middle field, hatar sana huyu mtu
Anakipiga Fulham kule Championship, kiungo wa nguvu sanaAndre zoumba Anguisa bonge la middle field, hatar sana huyu mtu
Yaani hawa waliokuwa wanapanga foleni kupata mkate wanashiriki wakati sie tunaangalia kwenye chupa ya mzungu...kweli mwinyi hakukosea ule usemi wake
Cameroon hapo mkuu, wenzetu wapo mbali sanaHuu uwanja upo cameroon
Mji wao ndio umepangika hivyo [emoji54][emoji54][emoji54][emoji122][emoji122]
Tumezidi siasaYaani hadi Zimbabwe wamo sio sie sasa