2021 AFCON Special Thread

Unakuta mtz anacheza norway daraja la kwanza au pili na haitwi timu ya taifa lakini anaitwa John Boko au Nchimbi. Hawa wacomoro wengi wanacheza france madaraja ya chini lakini hawa ni bora kuliko hawa wachezaji wetu wa simba na yanga.
Sure.
Simba na Yanga zinaharibu sana maendeleo ya soka la Tanzania.
Unakuta haohao viongozi wa TFF and the likes ni either Simba au Yanga.
Akija kocha wa kigeni anapewa database ya wachezaji wachache sana wa nje zaidi Simba na Yanga.
 
Morocco though mmedroo lakini I'm so happy, point 7 sio haba.... mnacheza kwa kujiamini, na pira linavutia kweli kweli, hutamani mpira umalizike.

Nasubiri Algeria wangu, ingawa wana asilimia ndogo mno kupita ikiwa atashinda, na Guinea and Sierra Leone wakadroo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…