Mechi za round ya kwanza kila mtu hataki kufungwa...sasa imefika watu lazima wafungue mchezoMorocco tu ndio kapangiwa kibonde Malawi.
Tunisia anakutana na Nigeria halafu Egypt anakutana na Ivory Coast.
AFCON ilianza hovyo but sasa mie naona imechangamka sana.
Hawakuwez kabisa kutengeneza nafasi wacha wasepe zaoJapo sio fan wa Algeria siamini macho yangu kama wametoka kizembe hivyo
Hata Senegal wanaishi kwa matumaini, hii trophy inaenda either Nigeria, Cote devoir, MaliHawakuwez kabisa kutengeneza nafasi wacha wasepe zao
BlackPanther ile Algeria unayoiandika si hii ambayo leo iko mbioni kuaga mashindano leo.
Ufungaji magoli umekuwa changamoto kwao....wacha tuone hizi mechiHata Senegal wanaishi kwa matumaini, hii trophy inaenda either Nigeria, Cote devoir, Mali
Simuoni Mu-Algeria mwezangu
HakikaNipo kamanda wangu....sina neno, wacha tujipange
halafu juzi tuu wametoka kuchukua Arab world cup
Hivi AFCON kuna VAR ya nini, mbona hawaoni kabisa hizi janja janja za waarabu kujiangusha...
Penati ya Algeria ya mchongo, freekick muda si mrefu mchongo
Nigeria hautajutia uamuz wakoKama Algeria leo atatolewa sijui nihamie timu gani? Ushauri
Ukipigwa hapa hata la bahati mbaya kwaheri
Uuwiii! Mi na mikeka wapi na wapi Mtani?siku nyingine kabla ya kuweka mkeka niambie
Hao wapemba wamepambana sana kufika hapo sio wa kuwachukulia poa japo wanakutana na mwenyeji.