Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #1,521
Huyu mjomba ake Okocha hamnaga mchezaji, yuko hyped sanaIwobi.
Kacheza dk 5 tu baada ya kuingia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mjomba ake Okocha hamnaga mchezaji, yuko hyped sanaIwobi.
Kacheza dk 5 tu baada ya kuingia
Hahaha eti kabetKabisa mkuu yaani jamaa kazingua kinoma au kocha kabet jamani
Sii kama yule kocha wa namimbia tunacheza nao stars ulimi unatutoka eti kocha anaenda kumto yule bushman ambaye kila mtu alikuwa anaona kabisa anatusumbua. Yaani mpaka waliokuwepo uwanja u walizomea. Ndio haya ya leoHahaha eti kabet
Amezingua sanaSii kama yule kocha wa namimbia tunacheza nao stars ulimi unatutoka eti kocha anaenda kumto yule bushman ambaye kila mtu alikuwa anaona kabisa anatusumbua. Yaani mpaka waliokuwepo uwanja u walizomea. Ndio haya ya leo
Na iwe hivyoNigeria atakula chuma ya 2 soon.
Yalikuwa mazingira mazuri sana.Hizi foul tunakwana wap, kama iyo ulaya wanazamisha tu nyavuni...
Ivory Cost au nasema uongo ndugu zangu.Haya sisi kama Ngoni Migration, tunahamia timu gani wakuu? Maana Nigeria ndio huyooooo
Tuelekee ivory costHaya sisi kama Ngoni Migration, tunahamia timu gani wakuu? Maana Nigeria ndio huyooooo
Cameroon vp lkn?Tuelekee ivory cost
Hawaeleweki waleCameroon vp lkn?