OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Matapeli wametolewaUpdate vp huko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matapeli wametolewaUpdate vp huko?
Uraia pacha muhimu😂Siwezi kukubali kukosa kombe ntabadili timu hadi nipate ubingwa
Hawaeleweki wale
FT' Nigeria 0-1 TunisiaUpdate vp huko?
HUyu Adiq ndio ilikuwa sub yakufa ya sio iwobi...ah jamaa kajikosesha maulaji mwenyewe...hatapewa hiyo job tenaAmezingua sana
Mpira wa Africa kwa fitna si mchezo!!Kesho Comoro itawalazimu mchezaji wa ndani akadake kama Golikipa kutokana na Corona...Cameroon watashinda mengi, kuna hat trick kesho ya Aboubakar
View attachment 2093289
Uliweka mzigo kwa Naija?HUyu Adiq ndio ilikuwa sub yakufa ya sio iwobi...ah jamaa kajikosesha maulaji mwenyewe...hatapewa hiyo job tena
Yaani figisu zipo za kutosha, huu ni uhuni wa wazi kabisaMpira wa Africa kwa fitna si mchezo!!
Na ya kuumiza mnoMpira una matokeo ya ajabu sana
Wala...hizi tournaments sio zakuweka mzigo kabisaUliweka mzigo kwa Naija?
Naija kiukweli sikutegemeaMpira una matokeo ya ajabu sana
Sana haziboi kuangaliaAFCON mechi za 16 bora zimechangamka aisee hakuna anayezubaa.
Hapa labd maajabu yatokee, namuona kbs Vicent Abubakary akipiga alkasusu!Kesho Comoro itawalazimu mchezaji wa ndani akadake kama Golikipa kutokana na Corona...Cameroon watashinda mengi, kuna hat trick kesho ya Aboubakar
View attachment 2093289